Luke 11:38-39

38 aYule Farisayo akashangaa kwamba Yesu hakunawa kwanza kabla ya kula.

39 bNdipo Bwana akamwambia, “Sasa, enyi Mafarisayo, mnasafisha kikombe na sahani kwa nje, lakini ndani mmejaa unyangʼanyi na uovu.
Copyright information for SwhNEN